
Ligi Kuu Soka Tanzania bara
imeendelea jana December 23 2016 kwa Yanga kucheza dhidi ya African Lyon
katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo uliyomalizika
kwa sare ya goli 1-1 magoli yalifungwa na Ludovic Venance dakika ya 59
kwa African Lyon na Amissi Tambwe kwa Yanga dakika ya 74.
0 comments :
Post a Comment