Jerry Muro kayaandika haya baada ya Kichapo Cha Nne Mtungi kutoka kwa Mnyama


Simba na Yanga ni miongoni mwa timu kubwa za mpira Afrika Mashariki ambazo kwa historia ya mpira inasemekena ndio timu zenye upinzani mkubwa hasa zinapokutana uwanjani,January 10 2017 timu hizi zilikutana tena uwanja wa Shekh Amri Abeid kwenye kombe la Mapinduzi na kutoa matokeo ya penalt 4-2.
yanga 
Aliyekua msemaji wa Yanga ambaye kwa sasa anatumikia adhabu yake aliyopewa na Shirikisho la Soka Tanzania(TFF) Ndg,Jerry Muro kwenye ukurasa wake wa instagram ameandika>> ‘Sikilizeni nyinyi…Bora hata Simba mmeshinda, maana mlivyo watata mngeweza hata vunja Muungano’.
screen-shot-2017-01-11-at-10-00-41-am
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment