Kesi hiyo ambayo inawahusu waliokuwa maafisa wa shirikisho la soka TFF Juma Matandika pamoja na Martin Chacha aliyekua mkurugenzi wa mashindano ilianza kusikilizwa mwishoni mwa mwaka 2016.
Miongoni mwa mashaidi waliowasilisha utetezi wao ni pamoja na mwenyekiti wa timu ya Geita Gold Sports Leonard Bugomola na kuthibitisha kuwa ile sauti iliyorekodiwa na kusambaa mtandaoni ilikuwa ni kweli.
Kesi hiyo imeahirishwa hadi January 27 2017 saa 5 asubuhi.
0 comments :
Post a Comment