Wakati
wa kufanya maombi ya kujiunga na vyuo unatakiwa kuwa makini sana.Kuna
baadhi ya vyuo huwa vinadahiri wanafunzi lakini havitambuliwi na NACTE
matokeo yake huwa vinazua matatizo kwa wanafunzi ikiwemo kutoruhusiwa
kufanya mitihani ya mwisho.Ili kuepusha hili unatakiwa kuangalia orodha
ya vyuo ambavyo vimethibitishwa na NACTE kufanya udahiri wa wanafunzi. BONYEZA HAPA kuangalia orodha hiyo kutokana na kozi unayohitaji
BONYEZA HAPA KUANGALIA ORODHA YA VYUO VILIVYORUHUSIWA NA NACTE KUDAHILI WANAFUNZI
Home
/
KITAIFA
/
ANGALIA HAPA ORODHA YA VYUO VILIVYORUHUSIWA NA NACTE KUFANYA UDAHILI WA WANAFUNZI MWEZI/MARCH/APRIL 2017
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment