LIVERPOOL NGUVU SAWA NA SUNDERLAND,MAN CITY YAFUFUKA ETIHAD ‘EPL’


maneeeeooooo
Vibonde wa Ligi Kuu ya Uingereza timu ya Sunderland imeinyima Liverpool pointi tatu muhimu baada ya kuilazimisha sare ya magoli 2-2 mchezo uliomalizaka katika uwanja wa Stadium of Light mjini Sunderland.
Liverpool walikuwa wa kwanza kuandika bao dakika ya 19 kupitia kwa Daniel Sturridge hata hivyo mkongwe wa Sunderland Jamie Defoe aliisawazishia timu yake kwa njia ya penati dakika ya 27 hadi mapumziko zilikwenda zikiwa nguvu sawa.
Kipindi cha pili kilianza kwa timu zote kufanya mabadiliko wakicheza kwa kushambulia na kujilinda kuliwapa wakati mgumu Liverpool kupenya ngome ya Sunderland na katika dakika ya 72 mshambuliaji mwenye kasi ya ajabu Said Mane alifunga goli la pili kwa wagani.
Hata hivyo goli hilo halikuweza kudumu kwani dakika ya 84 Defoe tena alirudi kwenye nyavu za Liverpool kwa njia ya penati na kuweza kuisawazishia Sunderland hadi Mpira unamalizika timu hizo zimeweza kugawana pointi moja moja.
Kwa matokeo hayo Sunderland wamefikisha pointi 15 na kubaki nafasi ya 18 ya mstari mwekundu wa kushuka daraja wakati Liverpool wamebaki katika nafasi ya pili wakiwa na pointi 44 na kuiacha Chelsea ikitesa kileleni mwa Ligi wakiwa na pointi 49 na kesho watashuka dimbani dhidi ya Tottenham.
VIKOSI:SUNDERLAND (4-4-1-1): Mannone 7; Love 6, O’Shea 6, Djilobodji 6, Van Aanholt 6; Borini 5.5, Rodwell 6.5 (Manquillo 65, 6), Ndong 6.5, Larsson 6; Januzaj 6 (Khazri 79, 5.5); Defoe 7.5
Subs: Mika, Honeyman, Maja, Embleton, Ledger
Scorers: Defoe 25 (pen) & 84 (pen)
Bookings: Rodwell, Larsson
LIVERPOOL (4-3-3): Mignolet 6.5; Clyne 6, Lovren 6, Klavan 5.5, Milner 6 (Moreno 46, 6.5); Wijnaldum 6 (Origi 73, 6), Can 5.5, Lallana 6; Mane 6.5, Sturridge 7 (Lucas 80), Firmino 5.5
Subs: Karius, Stewart, Ejaria, Alexander-Arnold
Scorers: Sturridge 19, Mane 72
Bookings: Milner, Lallana, Mane
Ref: Anthony Taylor
MOTM: Defoe
Att: 46, 494 
  • kadiii
Katika uwanja wa Etihad Stadium mjini Manchester baada ya kupoteza mchezo wao dhidi ya Liverpool hatimaye Manchester City wamefufuka baada ya kuitandika Burnely jumla ya magoli 2-1.
Kwa matokeo hayo vijana wa Pep Guardiola wamewashusha Arsenal na kupanda hadi nafasi ya tatu kwa pointi zao 42 na Arsenal wakirudi kwenye nafasi ya nne wakiwa na pointi 40 na kesho watashuka dimbani kucheza na Bournemouth.
VIKOSI:MANCHESTER CITY (4-1-4-1): Bravo 6; Sagna 6.5, Otamendi 6, Kolarov 6.5, Clichy 7; Fernandinho 4.5; Navas 5 (Silva 46, 7), Toure 6, De Bruyne 6, Sterling 6 (Stones 89); Iheanacho 5 (Aguero 46, 7.5)  
Subs not used: Caballero, Zabaleta, Nolito, A. Garcia
Sent off: Fernandinho 32 
Goals: Clichy 58, Aguero 62 
Booked: Toure, Sagna, Kolarov, Silva 
BURNLEY (4-4-2): Heaton 7.5; Lowton 6, Keane 7, Mee 6, Ward 5; Boyd 5.5, Arfield 5.5 (Bamford 88), Hendrick 6.5, Gudmundsson 6 (Defour 59, 6.5); Barnes 6 (Vokes 68, 7), Gray 6.5 
Subs not used: Darikwa, O’Neill, Robinson, Tarkowski
Goal: Mee 70 
Booked: Hendrick, Keane, Gray
Referee: Lee Mason 6.5
Star man: Aguero
Matokeo mengine:Middlesbrough 0-0 Leicester City,Everton 3-0 Southmpton,West Brom 3-1 Hull City
  • TEAMPGDPTS
    1Chelsea192949
    2Liverpool202544
    3Manchester City201942
    4Arsenal192240
    5Tottenham Hotspur192339
    6Manchester United201037
    7Everton20530
    8West Bromwich Albion20429
    9Bournemouth19-524
    10Southampton20-624
    11Burnley20-923
    12West Ham United20-1023
    13Watford19-1122
    14Leicester City20-721
    15Stoke City19-1021
    16Middlesbrough20-519
    17Crystal Palace19-616
    18Sunderland20-1815
    19Hull City20-2713
    20Swansea City19-2312
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment