Lijualikali amepewa adhabu hiyo kutokana na kukutwa na hatia ya kuwafanyia Polisi fujo wakati wa uchaguzi wa Mwenyekiti wa halamshauri ya wilaya ya kilombero mwaka 2016.
Profesa Jay ameandika >>> ‘Wanadhani wanatutisha ili tuogope na kurudi nyuma, hawajui kuwa wanatukomaza na kutuongezea ujasiri zaidi wa kuendeleza mapambano.. ipo siku tutaelewana tu na jela tutaona kama tumekwenda DISCO, hongera mpiganaji @mh.lijualikali hatujui kesho ni zamu ya nani ila WE ARE VERY READY!! TRUST ME.. ALUTA CONTINUA. .

Profesa Jay na Lijualikali bungeni Dodoma



0 comments :
Post a Comment