Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga
mkono kuwasalimia wananchi wa Shinyanga waliofika katika uwanja wa mpira
wa Kambarage katika kilele cha Maadhimisho ya Sherehe za miaka 53 ya
Mapinduzi ya Zanzibar mkoani humo.

Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akielekea
kuwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha Maadhimisho ya sherehe
za miaka 53 ya mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja wa
Kambarage mkoani humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli
akiwahutubia wakazi wa Shinyanga katika kilele cha maadhimisho ya
sherehe za miaka 53 ya Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika katika uwanja
wa Kambarage mkoani humo.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia
mkono Kwaya ya KKKT Shinyanga mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Kambarage mkoani Shinyanga.
PICHA NA IKULU



0 comments :
Post a Comment