Jana kumuibuka taharuki kwenye mitandao ya kijamii baada ya taarifa
kutolewa na kituo cha habari cha Chennel Ten kuwa hakutakuwa na Mafunzo
kwa Vitendo yaani BTP ama Field kwa wanafunzi wa mwaka wa kwanza kuanzia
mwaka huu. Taarifa ambayo imetolewa na Waziri wa Elimu, Prof.
Ndalichako.
Taarifa hiyo imetolewa Juzi tarehe 14 katika kipindi cha habari za saa
kinachopeperushwa na Channel Ten. Sababu za kutokuwaruhusu wanafunzi wa
mwaka wa kwanza kwenda field ni kile kinachosemwa kuwa ni kutokuwa na
ukomavu katika taaluma yao
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment