Vinara wa Ligi Kuu ya Uingereza timu ya Chelsea imeshindwa kuondoka na pointi tatu katika uwanja wa Turf Moor Mjini Burnley baada ya kubanwa mbavu na wenyeji Burnley ya sare ya bila kufungana.
Mshambuliaji wa Hispania Pedro
alikuwa wa kwanza kuifungia bao Chelsea dakika ya 7 hata hivyo Bao hilo
halikuweza kudumu kwani dakika ya 24 Burnley walisawazisha kupitia kwa Robbie Brady hadi Mapumziko timu hizo zilikuwa zimefungana moja moja.
Kipindi cha pili timu zote
zilifanya mabadiliko hata hivyo hakuna ambaye aliweza kuondoka na pointi
tatu hadi mwamuzi anamaliza Mpira zimeweza kugawana pointi moja moja.
Kwa matokeo hayo Chelsea
wameendelea kubaki kileleni mwa Ligi wakiwa na jumla ya Pointi 60 na
tofauti ya alama 10 na timu inayoshika nafasi ya pili Tottenham Spurs
wenye pointi 50 sawa na Arsenal.
VIKOSI:BURNLEY XI (4-4-2): Heaton; Lowton, Keane, Mee, Ward; Boyd, Westwood, Barton, Brady (Arfield 65mins); Gray (Vokes 82), Barnes
Substitutes not used: Robinson, Flanagan, Darikwa, Gudmundsson, Tarkowski
Goal: Brady 24
Booked: Westwood, Lowton, Barton
CHELSEA XI (3-4-3): Courtois;
Azpilicueta, David Luiz, Cahill; Moses (Willian 72), Kante, Matic
(Fabregas 67), Alonso; Pedro (Batshuayi 87), Diego Costa, Hazard
Substitutes not used: Begovic, Zouma, Ake, Chalobah
Goal: Pedro 7
Booked: Luiz, Fabregas
Referee: Kevin Friend
Attendance: 21,744
Msimamo wa Ligi baada ya Chelsea kucheza.
Team | P | GD | Pts | |
---|---|---|---|---|
1 | Chelsea | 25 | 34 | 60 |
2 | Tottenham Hotspur | 25 | 28 | 50 |
3 | Arsenal | 25 | 26 | 50 |
4 | Liverpool | 25 | 24 | 49 |
5 | Manchester City | 24 | 20 | 49 |
6 | Manchester United | 25 | 17 | 48 |
7 | Everton | 25 | 13 | 41 |
8 | West Bromwich Albion | 25 | 3 | 37 |
9 | Stoke City | 25 | -6 | 32 |
10 | West Ham United | 25 | -9 | 32 |
11 | Southampton | 25 | -3 | 30 |
12 | Burnley | 25 | -9 | 30 |
13 | Watford | 25 | -13 | 30 |
14 | Bournemouth | 24 | -12 | 26 |
15 | Middlesbrough | 25 | -8 | 22 |
16 | Leicester City | 24 | -17 | 21 |
17 | Swansea City | 24 | -25 | 21 |
18 | Hull City | 25 | -27 | 20 |
19 | Crystal Palace | 25 | -14 | 19 |
20 | Sunderland | 25 | -22 | 19 |
0 comments :
Post a Comment