Gwajima na Manji wamepakizwa kwenye gari moja na kuelekea sehemu ambayo kamishina wa Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam Simon Sirro hakutaka kuweka wazi lakini akawaambia Waandishi wa habari waliokua nje ya kituo kuwa taarifa rasmi atazitoa kesho Ijumaa ya February 10 2017,
Tazama kwenye hii video hapa chini walivyokua wakiondolewa kituoni hapo


0 comments :
Post a Comment