Baada ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda kutangaza awamu ya pili ya sakata la dawa za kulevya huku jina la mbunge wa zamani wa Kinondoni, Idd Azan
akiwa kwenye list, leo February 10 2017, Idd Azan amefika kituo cha
polisi kati kuitikia wito wa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda aliyewataka kufika kituoni hapo kwa mahojiano.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment