Man United walicheza mchezo wao wa round ya tano wa FA Cup dhidi ya Blackburn Rovers ugenini, licha ya Man United kuwa ugenini walifanikiwa kupata ushindi wa goli 2-1, magoli ambayo yalifungwa na Marcus Rashford dakika ya 27 baada ya Graham kufunga goli la uongozi dakika ya 17 kwa Blackburn.
Baada ya Man United kusawazisha na mchezo kuwa sare 1-1 hadi dakika ya 45 za kwanza zinamalizika, Man United walionekana kuwa na mpango mbadala wa kuhakikisha wanapata ushindi, dakika ya 76 Zlatan Ibrahimovic akabadili ubao wa matokeo kwa kuifungia Man United goli la pili na ushindi
0 comments :
Post a Comment