Leo February 9 2017 Mfanyabiashara Yusuph Manji
amefika kituo cha polisi kati kama alivyoahidi jana baada ya kutajwa
kwenye orodha ya watu 65 na mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda. Leo Yusuph Manji alifika asubuhi kwenye
kituo cha Polisi cha kati ambapo baadae alionekana akiwa anatoka
kuondoka lakini ghafla akazuiwa na Polisi na kumwambia anahitajika ndani
tena, tazama kwenye hii video.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment