Kuna
post mbili ambazo Waziri Nape ameziweka katika ukurasa wake wa twitter
na kuwafanya watu waanze kuzitafsiri kila mmoja apendavyo huku wengine
wakizihusisha na kauli yake ya kutaka busara itumike katika mapambano
ya madawa ya kulevya.
Hata hivyo, Nape amedai post hizo hazina maana yoyote mbaya na badala yake ni masomo tu ya mwalimu Mwakasege
0 comments :
Post a Comment