KWA maneno yaliyo jaa mahaba Mkuu wa Wilaya ya Kinondini Mkoani Dar es salaam Ali Hapi, amemsifia mkewe kwa kumvumilia kipindi chote akiwa katika utendaji wa kulitumikia taifa.
Aidha Hapi ameonesha wazi jinsi gani anampenda na kumuheshimu mkewe ambaye yeye anaamini kuwa uwepo wa mkewe unatija kubwa sana katika kuyakamilisha majukumu yake kifamilia na kitaifa pia.
“Pale unapokua umetimiza malengo na kumshukuru Mungu. Asante malkia wangu kipenzi kwa kunivumilia.”alimaliza Hapi
0 comments :
Post a Comment