Mwimbaji wa BongoFleva Vanessa Mdeeamekaa kwenye vichwa vya habari kwenye hizi siku 5 na ni baada ya Polisi kuthibitisha kwamba imemshikilia kutokana na tuhuma za sakata la dawa za kulevya.
Leo jioni Kamishna wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam Simon Sirro amethibitisha kwamba Vanessa Mdee ameachiwa kwa dhamana >>> “Ndio, tumempa dhamana wakati tunaendelea na uchunguzi… amepewa aripoti kesho”
0 comments :
Post a Comment