Aliyekuwa waziri wa habari,sanaa,utamaduni na michezo,Nape Nnauye kupitia ukurasa wape wa Twitterna Instagram amesema leo mchana atazungumza na waandishi wa habari kuzungumzia suala la yeye kuondolowe kwenye baraza la mawziri.
"Ndugu zangu naomba tutulie,leo mchana nitakutana na wana habari na tutalizungumzia hili .Nitawaambia saa namahali.Kwa sasa naomba TUTULIE"
Nape ametoa taarifa hiyo mara baada ya Rais Magufuli kumuondoa kwenye baraza la mawaziri.
0 comments :
Post a Comment