Uteuzi Mwingine Wa MAGUFULI Huu Hapa



Asubuhi ya March 23 2017 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli alifanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri kwa kumteua aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Dr Harrison Mwakyembe kuwa waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
Huku akimteua Prof Palamagamba Aidan John Mwaluko Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, baada ya uteuzi huo Rais Magufuli jioni ya leo March 23 2017 amefanya uteuzi mwingine tena kwa mteua Alphayo Kidatakuwa Katibu Mkuu Ikulu.
Kabla ya uteuzi huo wa Rais Magufuli aliyoufanya leo, Alphayo Kidata alikuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya MapatoTanzania (TRA) lakini nafasi hiyo ipo wazi na itazibwa baadae, Alphayo Kidata anarithi nafasi ya
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment