Full Video:Nape Akihutubia Juu Ya Gari Baada Baada Yakuteuliwa

Leo asubuhi ya March 23 2017 taarifa kutoka IKULU ilieleza kwamba nafasi ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo amepewa Dr. Harrison Mwakyembe, baadayeNape Nnauye alitoa taarifa kuwa atazungumza na Waandishi wa Habari lakini Meneja wa Hotel ambayo mkutano ulitakiwa ufanyike alisema ameagizwa kuwaambia Waandishi watawanyike na hakutakuwa na mkutano.
Saa chache baadae Nape Nnauye alifika eneo hilo na aliongea na waandishi akiwa juu ya gari. Bonyeza play hapa chini kutazama full video ya alichokiongea.

VIDEO: Alichoongea Nape Nnauye kwa mara ya kwanza baada ya kuvuliwa Uwaziri.Bonyeza play hapa chini kutazama.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment