LIVE Maombolezo Ya Kitaifa Ya Wanafunzi Waliofariki Kwa Ajari Shule Ya Lucky Vicent, Arusha

May 8, 2017 Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan anaongoza waombolezaji waliokusanyika katika Uwanja wa Kumbukumbu ya Sheikh Amri Abeid, Arusha kuomboleza vifo vya wanafunzi zaidi ya 30 wa Lucky Vicent waliofariki katika ajali ya gari baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbika kwenye korongo.
Unaweza kufuatilia LIVE hapa kwa kubonyeza play…

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment