Usiku wa kuamkia May 26, 2017 kuliripotiwa taarifa ya mauaji ambapo mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Maximilian alimpiga risasi na kumuua mkewe kisha naye kujiua wakiwa nyumbani kwao…sasa news story ya tukio hilo ni binti wa wazazi hao ambaye alishuhudia tukio hilo.
binti huyo anayeitwa Ester Maximilian ambaye anasimulia tukio zima kwenye video hii hapa chini…bonyeza PLAY kutazama.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment