Mkurugenzi Idara ya Habari –
MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na
waandishi wa habari hawapo (pichani) kuhusu kukamatwa kwa mmiliki wa
Kampuniya FAKUNA ambaye anatuhumiwa kutaka kuitapeli Serikali baada ya
kubainika kuwasilisha nyaraka za kughushi ili asajili Gazeti la Lete
Mambo leo jijini Dar es Salaam.Kulia ni Kaimu Msajili wa Magazeti
Patrick Kipangula na kushoto ni Afisa Habari wa Idara ya Habari MAELEZO
LilianLundo.
Baadhi ya waandishi wa habari
wakimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO alipokuwa akitoa
taarifa juu ya kukamatwa kwa mtuhuhiwa aliyejaribu kughushi nyaraka za
Serikali ili asajili Gazeti leo jijini Dar es Salaam.
Mtuhumiwa wa kughushi nyaraka
za Serikali ili asajili Gazeti ambaye pia ni mmiliki wa Kampuni ya
FAKUNA Bw. Joseph Sheka akitolewa ndani ya Ofisi za Idara ya Habari –
MAELEZO punde baada ya Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO
kumkabidhi mtuhumiwa huyo mikononi mwa jeshi la Polisi kwa ajili ya
hatua zaidi.
Pichani mtuhumiwa Joseph Sheka
akiongozwa na Askari Kanzu kuelekea kwenye gari la Polisi tayari kwa
kupelekwa Kituo cha Polisi Kati leo jijini Dar es Salaam.Sheka
anatuhumiwa kutaka kuitapeli Serikali kwa kuwasili shanyara kazakughushi
katika Ofisi za Msajiwa Magazeti ilia pate usajili wa Gazeti la Lete
Mambo.
WatuhumiwawakiwandaniyaGari la
Polisimarabaadayakukamatwanakukabidhiwakwajeshi la Polisileojijini Dar
esSalaam.WatuhumiwahaowamefikishwakatikaKituo cha Polisi cha Kati
kwamahojianozaidinahatuazingine zitafuatia.
Pichana: Frank Shija – MAELEZO
0 comments :
Post a Comment