Naomba kuwa mkweli humu na popote.
Shinikizo la TEF ni shadow tu ya journalism,Meena na Balile wanajulikana kuwa mikononi mwa wanasiasa wakubwa wa upinzani.
Wasituaminishe wanachoamini wao.Ninawajua personally,what I can Say ni kwamba Mimi na Alloyce tutafanya program ya watanzania.
Makonda katuhumiwa na hajapewa muda wowote n.a. popote kujibu tuhuma,kosa letu ni nini?
TEF wanatuaminisha kwa uongo lakini wanachokisema ni kile kilichoitwa MAPENDEKEZO ya tume ya nape ambayo hatuwezi kuipa mamlaka ya TEF kama uhalisia wa nn TEF inapaswa kufanya.
Tuvumiliane na tujadiliane baada ya kipindi.
KUNA watu watapata aibu ya Mwaka.
Naomba nilale sasa
*Dr Anthony Diallo*
*Mkurugenzi Mtendaji Sahara Media Group*

0 comments :
Post a Comment