
Wabunge walikuwa wakijadili na kuchangia mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo kwa mwaka wa fedha 2017/2018 na kati ya waliopata nafasi ya kuwasilisha maoni yao ni pamoja na Mbunge wa Singida mashariki Tundu Lissu na Mbunge wa Mbeya mjini Joseph Mbilinyi.
About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments :
Post a Comment