Frola Amewajibu Wanaosema Kamzidi Umri Mume Wake

Aprli 30 2017 Mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini Tanzania, awali alijulikana kama (Flora Mbasha) amezitengeneza headlines baada ya kufunga ndoa kwa mara ya pili baada ya kuachana na aliyekuwa mume wake Emanuel Mbasha.
Sasa comment zimekuwa nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na umri wa mume wake wa sasa Daudi wako wanaosema kuwa maadam Flora amemzidi Daudi umri, Ayo TV na millardayo.com imekusogezea maswali 6 Exclusive ambayo ameyajibu Maadam Flora siku ya ndoa yake.

Ulimiss Flora Mbasha kaolewa tena….tazama ndoa ilivyofungwa itazame hii video hapa chini…


 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment