Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa CCM, Tanzania Bara, Philip Mangula amesema
kitendo alichokifanya Rais John Magufuli cha kuwafichua wanaotorosha mchanga wa madini
kipo kwenye ilani ya chama hicho hivyo wapinzani waache kudandia treni kwa mbele.

Mangula amesema hayo leo (Jumamosi) wakati akizungumza na wanachama wa CCM kwenye
kongamano la kuunga mkono juhudi za Rais na kumpongeza kwa kuwafichua mafisadi lililoandaliwa na wanachama hao.
“Alichokifanya Rais kipo ndani ya ilani ya chama, wapo wanaotaka kudandia treni kwa mbele wakidai wao ndiyo walikuwa na mawazo hayo, nataka niwaambie Rais anatekeleza ilani hiyo ni mipanngo ya CCM, “amesema.
Pia, Mangula amewaonya watu wanaoibuka na kutaka kukwamisha kazi anayofanya Magufuli
kuwa hawataweza na nchi haitashtakiwa kama wanavyodai.
“Niwatoe hofu wananchi na wanachama wote kuwa nchi iko salama zaidi tumuunge mkono Rais Rais wetu kuwafichua wezi wa mali za nchi” amesema

0 comments :
Post a Comment