Mbunge wa Kawe, Halima Mdee amewaambia wananchi kuwa alikuwa rumande kwa majukumu ya kikazi.
"Nilikuwa sionekani kwasababu niliwekwa ndani 'Rumande' kwa majukumu ya kikazi tu na ilikuwa kama likizo yangu hivyo sasa nimetoka naanza kazi zangu kama kawaida," amesema Mdee
Mdee alisema hayo katika viwanja vya Leaders wakati akitoa salamu za rambirambi kwenye shughuli za kuaga mwili wa mtangazaji wa Kituo cha Redio Efm, Seth Katende maarufu Bikira wa Kisukuma.
About Unknown
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.


0 comments :
Post a Comment