Mnyika amshukia Jpm


Mbunge wa Kibamba(Chadema) John Mnyika, ameandika katika ukurasa wake wa twitter akimtaka Rais John Magufuli ateue Waziri wa Nishati na Madini.


“Mheshimwia Rais, lini utateua Waziri wa Nishati na Madini,” ameandika jana Mnyika


Mei mwaka huu, Rais Magufuli alitengua uteuzi wa Waziri wa Nishati na Madini, Sospeter Muhongo mara baada ya kupokea ripoti ya kamati ya kwanza iliyochunguza makontena 277 yenye mchanga wa madini yaliyozuiwa bandarini.


Tangu wakati huo, hakuna aliyeteuliwa kushika nafasi ya Profesa Muhongo, ingawa Naibu Waziri Dk Medard Kalemani anaendelea na kazi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment