Shabiki aingia katikati Ya uwanja kumkumbatia Wayne Rooney

Shabiki mmoja ashindwa kuvumilia na kuamua kuingia kiwanjani kwenda kumsalimia Wayne Rooney.

Mshabiki huyo ambaye alivalia jezi ya Man United aliingia uwanjani na kufanikiwa kumkumbatia mchezaji huyo wa Everton kabala ya kutolewa na askari. 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment