Taarifa Ya Yule mama aliepigwa risasi kibiti

 

KIBITI: Mwanamke aliyejeruhiwa kwa risasi usiku wa kuamkia juzi katika kijiji cha Ruaruke, wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani, Tabia Mbonde anaendelea na matibabu katika Hospitali ya Mchukwi, kinyume na taarifa zilizoenea kwamba amefariki.

Awali iliarifiwa kuwa watu wasiojulikana walimuua kwa kumpiga risasi, mkazi wa Kijiji cha Ruaruke, wilayani Kibiti, Mkoa wa Pwani, Ramadhani Mzurui, usiku wa kuamkia juzi na kumjeruhi mguuni kwa risasi mke wa marehemu ambaye alikimbizwa hospitali kwa matibabu.

Global Publishers ilifunga safari mpaka hospitalini hapo na imefanikiwa kumpata majeruhi huyo ambaye  alishuhudia mumewe akiuawa kwa risasi na yeye kukimbilia msituni baada ya kupigwa risasi tano mguuni.

Baada ya tukio hilo, mama huyo anadai alianguka msituni ambako alikuja kuchukuliwa na Wasamaria wema na kupelekwa hospitali.
Mama huyo amefunguka mengi kuhusu mauaji hayo ambayo utayapata kupitia
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment