UFAFANUZI TANGAZO LA AJIRA MPYA WIZARA YA AFYA
Wizara ya Afya, Maendele0 ya Jamii, Jinsia. Wazee na Watoto kupitia kibali cha Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, inatangaza nafasi za kazi 3,152 kwa wahitimu wa kada za Afya nchini.
Wizara ya Afya, Maendele0 ya Jamii, Jinsia. Wazee na Watoto kupitia kibali cha Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, inatangaza nafasi za kazi 3,152 kwa wahitimu wa kada za Afya nchini.
Wizara ma jukumu la kuwapangia vituo vya kazi waombaji wenye sifa kwa mujibu wa 1Naraka wa Maendeleo ya Uturnishi Na.1 wa mwaka 2008 kuhusu miuneo ya Uturnishi ya Kada chin, ya Wizara ya Afya. Nafasi zinazotangazwa ni kama ifuatavyo,
1 Ass.Lab. Techn.
2 Technologist II
3 Assist Nursing Officer II
4 Assistant Clinical Officer
5 Assistant Dental Officer II
6 Assistant Medical Officer II
7 Assistant Nurse
8 Assistant Pharmacists II
9 Assistant Technologist II
10 AsstEnviroNHealh Officer II
11 Biomedical Engin Techn II
12 Clinical Assistant
13 Clinical Officer II
14 Dental Surgeon II
15 Dental Therapist II
16 Environ Health Assist II
17 Environ Health Officer II
18 Health Lab Technologist II
19 Health Lab. Scientist Officer II
20 Health Recorder II
21 Health Secretary II
22 Laboratory Technologist II
23 Launderers
24 Medical Attendant
25 Medical Consultant
26 Medical Doctor II
27 Medical Specialist II
28 Nurse II
29 Nursing Officer II
30 Nutritionist II
31 Occupational therapist II
32 Pharmacists Grade II
33 Physiotherapist II
Sifa za mwombaji
1. Awe ni raia wa Tanzania.
2. Awe na umri usiozidi miaka 45.
3. Asiwe mwajiriwa wa Serikali au asiwe mvvajiriwa wa Hospitali za Mashirika ya Dini ambaye mshahara wake unalipwa na Serikali.
4. Asiwe ameshawahi kufanya kazi Serikalini na kuacha kazi. Maombi yote yaambatanishwe na,
1. Nakala ya Cheti cha Taaluma.
2. Nakala ya Cheti cha Kidato cha nne/sita.
3. Maelezo binafsi (CV). 4. Picha (Passport size 33b)13 23 hivi karibuni.
5. Nakala ya cheti cha usajili au leseni ya kufanya kazi ya Taaluma husika.
6. Nakala ya cheti cha kuzatiwa.
Nakala za vyeti vya Taaluma na vyeti vya Kidato cha nne/sita vithibitishwe na Hakimu au Wakili.
Maombi, yote yawasilishwe kwa lugha ya Kiingereza isipokuwa kwa Wahitirnu wa ngazi ya Cheti, (Certificate) wawasilishe maombi, yao kwa lugha ya Kiswahili.
ANGALIZO: Wahitimu wa Kozi ya “Community Health Worker (CHW)” wanaweza kuomba nafasi ya kada ya Wahudumu wa Afya (Medical Attendant)
Wahitimu wote wa kada za Afya zilizotajwa hapo juu mnaombwa kutuma maombi yenu kwa njia ya posta kupitia anuani ifuatayo na si vinginevyo:- Katibu Mkuu (Afya), Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Chuo Kikuu cha Dodoma, Kitivo cha Sanaa na Sayansi ya Maendeleo ya Jamii, Jengo Na. 11, S.L.P. 743, 40478 DODOMA.
-Mwisho wa kupokea barua za maombi ni tarehe 11 Agosti, 2017
Tangazo hili linapatikana katika tovuti ya wizara ya afya bofya hapa kutembelea tovuti yao
Tangazo hili linapatikana katika tovuti ya wizara ya afya bofya hapa kutembelea tovuti yao


sawa
ReplyDelete