
Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma Gemini Mushy
Jeshi la polisi mkoani Ruvuma linawashikilia viongozi 6 wa kitaifa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) akiwemo Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Ruvuma kupitia chama hicho ZUBEDA SAKURO , kwa kosa la kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa na kuzua vurugu wilayani Nyasa mkoani Ruvuma.
Hii hapa taarifa yake.


0 comments :
Post a Comment