UNGUJA: Kituo cha Mafuta cha United Petroleum(Kinachomilikiwa na Mfanyabiashara mashuhuli Bakhresa) kilichopo katika eneo la Kinazini chaungua kwa moto mapema leo.
Aidha tayari kikosi cha zima moto kimefika eneo la tukio na kinaendelea na zoezi la ukoaji.
Taarifa zaidi zinakuja hivi punde



0 comments :
Post a Comment