Serikali imelifungia kwa siku 90 gazeti la TANZANIA DAIMA, yasema chanzo ni mfululizo wa makala na habari za uchochezi”
Mkurugenzi wa Idara ya habari maelezo Dr. Hassan Abbasi amesema Waziri wa habari amefanya uamuzi wa kulifungia gazeti hili kwa miezi mitatu kuanzia leo October 24 kwa nia njema ya kuwapa muda Wahariri wa gazeti hili kuangalia aina yao ya uandishi ambayo imekua ikikiuka sheria.
sehemu1
sehemu2Facebook