Mwenyekiti wa CHADEMA na Kiongozi Mkuu wa Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe amefunguka na kuelezea hali ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu na kusema kwa sasa anaendelea vizuri.
Mbowe amesema kuwa anatumaini baada ya muda Mbunge Tundu Lissu atarudi kuendelea na majukumu yake kama kawaida.
Mtazame hapa chini kwenye video akifunguka zaidiFacebook