Uteuzi wa Katibu wa Bunge Rais ameendelea kuvunja Sheria za Nchi.
Sheria ya Utawala wa Bunge inataka Rais kuteua Katibu wa Bunge kutoka kwenye orodha ya watu 3 ambao wamependekezwa na Tume ya Huduma za Bunge.

Alichoandika zitto kwenye ukurasa wake wa facebook

Rais John Magufuli ameteua Katibu Mpya wa Bunge bila mchakato huu kufanyika. Ni dhahiri kuwa Rais amefanya Hivi ili kuendelea kudhibiti Bunge.
Rais