Trump Ziarani Korea Kusini

Rais wa Marekani Donald Trump amewasili Korea ya kusini ikiwa ni sehemu ya ziara yake mashariki mwa Asia.
Katika mtandao wake wa Twitter, Rais Trump amemuelezea Rais wa Korea kusini Moon Jae-in kama mtu mwema na kusema kuwa watafanyakazi pamoja kuweza kushughulikia kitisho cha nyuklia kutoka Korea kaskazini.
Awali Rais Trump alielezea mbinu ya Rais Huyo wa Korea kusini ambayo ni mbinu shirikishi dhidi ya Korea ya Kaskazini kama ya makubaliano na kwamba raia wa Korea Kusini walikuwa na wasiwasi na kauli za mabavu za Rais Trump kwamba zinaweza kuifanya Korea ya Kaskazini kuchukua hatua za kijeshi katika eneo hilo ya rasi.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment