Baraza Kuu la Waisilamu Tanzania (BAKWATA) kupitia kwa msemaji wake Sheikh Khamis Mataka limekanusha kuwepo kwa njama za kumuondoa kiongozi wake mkuu Muft na Sheikh Mkuu Abubakar Zubeir.
Baraza hilo pia limekiri kukabiliwa na ukata kiasi cha kushindwa kulipa mishahara ya wafanyakazi wake huku likidaiwa shilingi milioni 176 ambazo ni pamoja na malimbikizo ya mishahara ya wafanyakazi wake tangu mwaka 2016.
Lafafanua kuhusu sakata la mgogoro wa shule ya Sekondari Bondeni iliyoko Arusha.
0 comments :
Post a Comment