Kiwanda Cha Pombe Bandia Chanaswa Mwanza

Wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihimiza ulipaji wa kodi wapo wahujumu uchumi na wanaotumia vibaya Sera ya Tanzania ya viwanda.
Kupitia oparesheni iliyofanyika jana  usiku, Jeshi la Polisi mkoani Mwanza limefanikiwa kubaini Kiwanda bubu cha pombe bandia kilichokuwa kinazalisha pombe kali iliyopewa jina la 'kubumba'
Polisi wamekifunga kiwanda hicho na kumkamata mmiliki wake, Emanuel George Munisi maarufu kama CCM pamoja na wenzake wanne.
Pombe hizo zilikuwa zikitumia stempu ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), na meneja msaidizi wa TRA Mwanza amesema wanafuatilia kujua mtuhumiwa alipataje stempu hiyo bila kuwa na kibali
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment