Hashim Rungwe Spunda Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) amemtembelea Mbunge wa Singida Mashariki Mhe. Tundu Lissu anayepatiwa matibabu Hospitali ya Nairobi nchini Kenya.
Hashim Rungwe ametoa wito kwa watanzania wote kuwa na moyo wa upendo pia ameliomba Jeshi la Polisi na vyombo vya dola kufanya kila njia kuwapata waliomshambulia Lissu.
0 comments :
Post a Comment