Siku chache zilizopita Wema Sepetu alitangaza kujivua uanachama wa CHADEMA na kurudi CCM
Leo Jumapili Disemba 11, 2017 amepost picha (hiyo hapo juu) kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam,Paul Makonda na Kunadika ujumbe Ufuatao
"With Le Brother...The Man Himself...callHim Mr Dar es salaam...Le RC Tunakutakieni Jumapili njema..cc @paulmakonda @paulmakonda @paulmakonda"
Maana yake "Na kaka yangu...mwanaume mwenyewe... wakumuita Mr Dar es salaam....Mkuu wa mkoa Tunakutakieni jumapili Njema"
0 comments :
Post a Comment