Azam Fm wameibuka mabingwa wa Mapinduzi Cup 2018 kwamara ya pili mfululizo baada ya kuigaragaza URA kwenye mchezo wa fainali uliopigwa usiku huu.
Azam wamepata ushindi huo kwa njia ya mikwaju ya penaiti 4-3 baada ya dakika 90 kumalizika kwa matokeo ya sare ya bila kufungana.
Kipa wa Azam Razak Abalora amecheza mikwaju miwili ya URA.
0 comments :
Post a Comment