Dalali Mwingine Amuumbua Diamond

Baada ya Dalali wa kwanza kusema Diamond Platnumz amenunua mjengo mpya aliopost tena kwa Tsh. Bilioni Moja, Dalali mwingine ameibuka na kuzungumza ukweli na kusema Diamond hajanunua bali amepangisha kwani yeye ndo mtu wa kwanza kuutangaza mjengo ule kwa ajili ya kupangisha.


Dalali huyo ambaye jina lake maarufu anaitwa Dalali Kiongozi amesema kuwa nyumba hiyo ilikuwa inapangishwa na hata Dalali Skoba wakati anamleta Diamond tayari alikuwa kashaulizwa yeye kwani yeye ndiye alikuwa anaujua huo mjengo na kuongezea kuwa mjengo huo awali ulikuwa unapangishwa kwa millioni 3 kwa mwaka..
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment