Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imewaandikia barua za kuwatahadharisha Wakuu wa Mikoa, Wilaya na Wakurugenzi kutojihusisha na siasa katika maeneo yao ambayo yanafanya uchaguzi wa marudio ya Ubunge na Udiwani.
Kauli hiyo ilitolewa na Mkurugenzi wa NEC, Ramadhan Kailima, kwenye kikao kati ya viongozi wa vyama vya siasa, jeshi la polisi, Serikali na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa.
0 comments :
Post a Comment