Spika wa bunge la Tanzania mhe.Job Ndugai ameagiza kamati ya Haki,Maadili na Madarka ya Bunge kukutana haraka ili kuchunguza na kujadili kauli ya mkuu wa mkoa wa Njombe mhe.Christopher Ole Sendeka inayolidhalilisha Bunge. Mheshimiwa spika amechukuwa hatua hiyo kufuatia kauli zilizonukuliwa katika mitandao ya kijamii kwa lugha ya kimasai,kiswahili na kiingereza zikiashiria kejeli na dharau kwa bunge alizozitoa Olesendeka na hivyo spika ameelekeza kuwa wakati wa kuchunguza suala hilo kamati imuite na kumhoji ili kubaini ukweli na dhamira ya kauli hizo na kutoa mapendekezo kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa na bunge
Ole Sendeka Kikaangoni Mbele Ya Kamati Ya Hali,Maadili, Na Madaraka Ya Bunge
Spika wa bunge la Tanzania mhe.Job Ndugai ameagiza kamati ya Haki,Maadili na Madarka ya Bunge kukutana haraka ili kuchunguza na kujadili kauli ya mkuu wa mkoa wa Njombe mhe.Christopher Ole Sendeka inayolidhalilisha Bunge. Mheshimiwa spika amechukuwa hatua hiyo kufuatia kauli zilizonukuliwa katika mitandao ya kijamii kwa lugha ya kimasai,kiswahili na kiingereza zikiashiria kejeli na dharau kwa bunge alizozitoa Olesendeka na hivyo spika ameelekeza kuwa wakati wa kuchunguza suala hilo kamati imuite na kumhoji ili kubaini ukweli na dhamira ya kauli hizo na kutoa mapendekezo kuhusu hatua zinazopaswa kuchukuliwa na bunge
0 comments :
Post a Comment