Yanga imetolewa jasho na Mawadui Fc kwenye mchezo wa leo kwa kutoka sare.
Mchezo huo uliofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam umemalizika kwa timu zote kuambulia patupu (0-0) na kufanya kila timu kuondoka na alama moja .
Matokeo hayo yanaifanya Yanga kukaa katika nafasi ya tano kwenye msimamo wa ligi ikiwa na alama 22 huku asimu wake Simba ambae yupo kileleni ana alama 26 na mchezo mmoja mkononi ambao anacheza kesho dhidi ya Singida United.


0 comments :
Post a Comment