Huu Hapa Msimamo Wa VPL Baada Ya Mechi Za Leo



Raundei ya 18 ya VPL imekamilika leo Februari 28,2018 kwa mchezo kati ya Ndanda 1-2 Yanga.

Baada ya kukamilika michezo yote ya raundi ya 19 msimamo unaonesha bado Simba wanaongoza msimao huo kwwa kuwa na alama 45 ikifuataikwa na Yanga yenye alqmq 40.

Njombe mjini inaburuza mkia ikiwa na alama 15 


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment