Watu wanne wameripotiwa kufariki baada ya mabomu mawili kulipuka katika kambi moja ya wakimbizi inayopatikana Borno Kaskazini mwa Nigeria.
Watu wengine 25 wameripotiwa kujeruhiwa katika milipuko hiyo.
Baada ya tukio hilo uongozi wa Borno umeimarisha usalama katika kambi hiyo.
Kundi la wanamgambo wa Boko Haramu linashukiwa kuhusika na shambulizi hilo
0 comments :
Post a Comment