Taarifa zilizotufikia muda huu hapa Tz News blog ni kwamba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuhukumu miezi mitano jela Mbunge wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi maarufu kama ‘Sugu’.
Sugu amehukumiwa na Katibu wa CHADEMAKanda ya Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga baada ya kutiwa hatiani kwa kosa la kutumia lugha ya fedheha dhidi ya Rais John Magufuli.
Hukumu hiyo imetolewa na Hakimu Mkazi Mfawidhi, Michael Mteite ambapo amesema ameridhishwa na ushahidi wa upande wa mashtaka.
habari zaidi tunakuletea
0 comments :
Post a Comment