Picha kwa hisani ya AFP.
Taarifa za awali kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo-DRC zinasema Polisi wa kwenye eneo la Rubaya Masisi katika jimbo la Kivu kaskazini mwa DRC wanashutumiwa kuwafyatulia risasi na kuwauwa wachimbaji madini watatu katika mgodi wa Rubaya.
Wakati huo huo mwandishiwa habari mmoja wa kutuo cha habari cha Marekani, VOA ameripoti kwamba watu 100 wengine wamenusurika kifo baada ya kufunikwa na maporomoko ya matope yaliyotokea kwenye eneo la mgodi huo
0 comments :
Post a Comment